Posts

Showing posts from October, 2017

SOMO LA 50

SOMO LA 50: FUTURE PERFECT CONTINUOUS TENSE Formula: pronoun + will/shall + have + been + verb + ing ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I will have been inviting (invite) all guests for one month ⚪Nitakuwa nimekuwa nikikaribisha wageni wote kwa mwezi mmoja ⚫You will have been solving (solve) these problems for a week ⚪Utakuwa umekuwa ukitatua matatizo haya kwa juma moja ⚫He will have been watching (watch) a football match ⚪Atakuwa amekuwa akitazama mechi ya soka (mpira wa miguu) ⚫She will have been travelling (travel) to Europe ⚪Atakuwa amekuwa akisafiri kwenda Ulaya ⚫It will have been making (make) noise ⚪Atakuwa amekuwa akipiga kelele ⚫We will have been thinking about our lives ⚪Tutakuwa tumekuwa tukifikiri kuhusu maisha yetu ⚫They will have been living here since July ⚪Watakuwa wamekuwa wakiishi hapa tangu Julai ➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 49

SOMO LA 49: FUTURE PERFECT TENSE Formula: pronoun + will/shall + have + verb (past participle) ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I will have taken another step in life ⚪Nitakuwa nimechukua hatua nyingine katika  maisha ⚫You will have calculated the profit and loss ⚪Utakuwa umekokotoa faida na hasara ⚫He will have increased the size of the room ⚪Atakuwa ameongeza ukubwa wa chumba ⚫She will have purchased a new blouse ⚪Atakuwa amenunua blauzi mpya ⚫It will have grown fully ⚪Atakuwa/utakuwa umekua kimamilifu ⚫We will have encouraged the broken hearted ⚪Tutakuwa tumewatia moyo waliovunjika moyo ⚫They will have discouraged the orphans ⚪Watakuwa wamewavunja moyo yatima ➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 48

SOMO LA 48: FUTURE CONTINUOUS TENSE Formula: pronoun + will/shall + be + verb + ing ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I will be working in the garden (work) ⚪Nitakuwa nikifanya kazi bustanini ⚫You will be making a lot of money ⚪Utakuwa ukitengeneza/ukipata pesa nyingi sana ⚫He will be cultivating his farm ⚪Atakuwa akilima shamba lake ⚫She will be waiting for a dowry ⚪Atakuwa akingoja mahari (posa) ⚫It will be meandering in the zoo ⚪Atakuwa akizurura kwenye hifadhi ⚫We will be congratulating the winners ⚪Tutakuwa tukiwapongeza washindi ⚫They will be eating traditional food ⚪Watakuwa wakila chakula cha kitamaduni ➖➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 47

SOMO LA 47: FUTURE SIMPLE TENSE Formula: pronoun + will/shall + verb ➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I will know everything (know) ▫Nitajua kila kitu ⚫You will go there by train (go) ▫Utakwenda kule kwa treni (gari moshi) ⚫He will bring it next year (bring) ▫Atakileta/atalileta/atamleta mwakani (mwaka ujao) ⚫She will cooperate with the whole team (cooperate) ▫Atashirikiana na timu nzima ⚫It will simplify the wok (simplify) ▫Itarahisisha/atarahisisha/kitarahisisha/litarahisisha kazi ⚫We will drive our cars (drive) ▫Tutaendesha magari yetu ⚫They will ride their bikes (ride) ▫Wataendesha baiskeli  zao ➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 46

SOMO LA 46: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ⚫Wakati uliopo hali inayoendelea ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb (be) + verb + ing ▶Matumizi ya "going to" ................................. 👉I am going to do it ⚫ _Ninakwenda kulifanya_ ⚪nitalifanya 👉You are going to speak on my behalf ⚫ _Unakwenda kuzungumza kwa niaba yangu_ ⚪Utazungumza kwa niaba yangu 👉He is going to do something different ⚫ _Anakwenda kufanya kitu cha tofauti_ ⚪Atafanya kitu cha tofauti 👉She is going to get a job ⚫ _Anakwenda kupata ajira/kazi_ ⚪Atapata ajira/kazi 👉It is going to be a live event ⚫ _Linakwenda kuwa tukio la moja kwa moja_ ⚪Litakuwa tukio la moja kwa moja 👉We are going to leave early ⚫ _Tunakwenda kuondoka mapema_ ⚪Tutaondoka mapema 👉They are going to loose the chains ⚫ _Wanakwenda kulegeza minyororo_ ⚪Watalegeza minyororo ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 45

SOMO LA 45: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE ⚫Wakati uliopo hali timilifu na inayoendelea ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + have/has + been + Verb + ing ................................. 👉I have been writing for ten minutes (write) _Nimekuwa nikiandika kwa dakika Kumi_ 👉You have been crying since afternoon (cry) _Umekuwa ukilia/mmekuwa mkilia tangu mchana_ 👉He has been leading since 1990 (lead) _Amekuwa akiongoza tangu 1990_ 👉She has been encouraging me for many years (encourage) _Amekuwa akinitia moyo kwa miaka mingi_ 👉It has been killing goats for a long time (kill) _Amekuwa akiua mbuzi kwa muda mrefu_ 👉We have been sending gifts to winners (send) _Tumekuwa tukituma zawadi kwa washindi_ 👉They have been feeling so for about three days (feeling) _Wamekuwa wakijihisi hivyo kwa takribani siku tatu_ ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 44

SOMO LA 44: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT PERFECT TENSE ➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT PERFECT TENSE ⚫Wakati uliopo hali timilifu ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + have/has + Verb (past participle) ................................. 👉I have gone home (go) _Nimekwenda nyumbani_ 👉You have done everything (do) _Umefanya/mmefanya kila kitu_ 👉He has bought a phone (buy) _Amenunua simu_ 👉She has taught me something (teach) _Amenifundisha kitu fulani_ 👉It has eaten his fish (eat) _Amekula samaki wake_ 👉We have sent letters to each of them (send) _Tumetuma barua kwa kila mmoja wao_ 👉They have built a small house (build) _Wamejenga nyumba ndogo_ ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 43

SOMO LA 43: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT PERFECT TENSE ➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT PERFECT TENSE ⚫Wakati uliopo hali timilifu ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + have/has + Verb (past participle) *.................................* 👉I have planted a tree (plant) _Nimepanda mti_ 👉You have killed a snake (kill) _Umeua/mmeua nyoka_ 👉He has helped you (help) _Amekusaidia_ 👉She has reminded me (remind) _Amenikumbusha_ 👉It has barked for two hours (bark) _Amebweka kwa saa mbili_ 👉We have waited since morning (wait) _Tumengoja tangu asubuhi_ 👉They have changed the timetable (change) _Wamebadili ratiba_ ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 42

SOMO LA 42: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ⚫Wakati uliopo hali inayoendelea ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb (be) + verb + ing ................................. 👉I am going to the beach now _Niko ninakwenda ufukweni sasa hivi_ 👉You are going to school on foot _Uko unakwenda / shuleni kwa miguu_ 👉He is going to the farm by bus _Yuko anakwenda shambani kwa basi_ 👉She is going to the market to buy vegetables _Yuko anakwenda sokoni kununua mboga za majani_ 👉It is going to the bush to look for food _Yuko anakwenda kichakani kutafuta chakula_ 👉We are going home for lunch _Tuko tunakwenda nyumbani kwa ajili ya chakula cha mchana_ 👉They are going home for breakfast _Wako wanakwenda nyumbani kwa ajili ya kifungua kinywa_ ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 41

SOMO LA 41: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT CONTINUOUS TENSE ⚫Wakati uliopo hali inayoendelea ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb (be) + verb + ing ................................. 👉I am going _Niko ninakwenda_ 👉You are going _Uko Unakwenda /mko mnakwenda_ 👉He is going _Yuko anakwenda_ 👉She is going _Yuko anakwenda_ 👉It is going _Yuko anakwenda_ 👉We are going _Tuko tunakwenda_ 👉They are going _Wako wanakwenda_ ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 40

SOMO LA 40: PARTS OF THE BODY ➖➖➖➖➖➖➖ 👴kichwa = head 👂Sikio = ear 👃Pua = nose 💋Mdomo = lip >>lips 👄kinywa = mouth 👀Jicho = eye 😱Shavu = cheek 👅Ulimi = tongue 🎅Kidevu = chin 👉Shingo = neck 👉Kifua = chest 👉Tumbo = stomach 👉Paja = thigh 👉Goti = knee 👉Kiwiko = elbow 👉Kiganja = palm 👉Mgongo = back 👉Nyonga = hip >>hips 👉Kiuno = waist >>loin 👉Kidole cha mkono = finger 👉Kidole cha mguu = toe 👠 Kisigino = heel 👉Kifundo cha mguu/tindi ya mguu = ankle 👉Wayo = sole >>footprint 👉Kisogo = nape 💅ukucha >> kucha      = nail >>nails ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 39

SOMO LA 39: NUMBERS ⏳SEHEMU YA 4 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 10,000,000,000 ➡ Ten billion                            = bilioni Kumi 90,000,000,000 ➡ ninety billion                            = bilioni tisini 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 100,000,000,000 ➡ one hundred billion                            = bilioni mia moja 900,000,000,000 ➡ nine hundred billion                            = bilioni mia tisa 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 1,000,000,000,000 ➡ one  trillion                            = trilioni moja 9,000,000,000,000 ➡ nine trillion                            = trilioni tisa 〰〰〰〰〰〰 1 = one 10 = ten 100 = one hundred 1,000 = one thousand 10,000 = ten thousand 100,000 = one hundred thousand 1,000,000 = one million 10,000,000 = ten million 100,000,000 = one hundred million 1,000,000,000 = one billion 10,000,000,000 = ten billion 100,000,000,000 = one hundred billion 1,000,000,000,000 = one trillion ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 38

SOMO LA 38: NUMBERS ⏳SEHEMU YA 3 🔖🔖🔖🔖🔖🔖 100,000 ➡ one hundred thousand               = laki moja 200,000 ➡ two hundred thousand                = laki mbili 300,000 ➡ three hundred thousand               = laki tatu 400,000 ➡ four hundred thousand                = laki nne 500,000 ➡ five hundred thousand                = laki tano 600,000 ➡ six hundred thousand                = laki sita 700,000 ➡ seven hundred thousand                = laki saba 800,000 ➡ eight hundred thousand                = laki nane 900,000 ➡ nine hundred thousand                = laki tisa 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 1,000,000 ➡ one million                    = milioni moja 9,000,000 ➡ nine million                    = milioni tisa 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 10,000,000 ➡ ten million                       = milioni Kumi 90,000,000 ➡ ninety million                      = milioni tisini 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 100,000,000 ➡ one hundred million                      = milioni mia moja 900,000,000 ➡ nine

SOMO LA 37

SOMO LA 37: NUMBERS ⏳SEHEMU YA PILI ➖➖➖➖➖➖➖ 100 ➡ one hundred        ◾mia moja 200 ➡ two hundred        ◾mia mbili 300 ➡ three hundred        ◾mia tatu 400 ➡ four hundred        ◾mia nne 500 ➡ five hundred        ◾mia tano 600 ➡ six hundred        ◾mia sita 700 ➡ seven hundred        ◾mia saba 800 ➡ eight hundred        ◾mia nane 900 ➡ nine hundred        ◾mia tisa 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 1000 ➡ one thousand           ✴ elfu moja 2000 ➡ two thousand           ✴elfu mbili 3000 ➡ three thousand           ✴elfu tatu 4000 ➡ four thousand           ✴ elfu nne 5000 ➡ five thousand           ✴ elfu tano 6000 ➡ six thousand           ✴ elfu sita 7000 ➡ seven thousand           ✴ elfu saba 8000 ➡ eight thousand           ✴elfu nane 9000 ➡ nine thousand           ✴elfu tisa 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 10,000 ➡ ten thousand               = elfu Kumi 20,000 ➡ twenty thousand                = elfu ishirini 30,000 ➡ thirty thousand               = elfu Thelathini 40,

SOMO LA 36

SOMO LA 36: NUMBERS ⏳SEHEMU YA KWANZA ➖➖➖➖➖➖➖➖ 1 ➡ one = moja 2 ➡ two = mbili 3 ➡ three = tatu 4 ➡ four = nne 5 ➡ five = tano 6 ➡ six = sita 7 ➡ seven = saba 8 ➡ eight = nane 9 ➡ nine = tisa 🔸🔸🔸🔸🔸🔸🔸 11 ➡ eleven = Kumi na moja 12 ➡ twelve = Kumi na mbili 13 ➡ thirteen = Kumi na tatu 14 ➡ fourteen = Kumi na nne 15 ➡ fifteen = Kumi na tano 16 ➡ sixteen = Kumi na sita 17 ➡ seventeen = Kumi na saba 18 ➡ eighteen = Kumi na nane 19 ➡ nineteen = Kumi na tisa 🔸🔸🔸🔸🔸🔸🔸 10 ➡ ten = Kumi 20 ➡ twenty = ishirini 30 ➡ thirty = Thelathini 40 ➡ forty = arobaini 50 ➡ fifty = Hamsini 60 ➡ sixty = sitini 70 ➡ seventy = sabini 80 ➡ eighty = themanini 90 ➡ ninety = tisini 🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹 21 ➡ twenty one = ishirini na moja 22 ➡ twenty two = ishirini na mbili 23 ➡ twenty three = ishirini na tatu 24 ➡ twenty four = ishirini na nne 25 ➡ twenty five = ishirini na tano 26 ➡ twenty six = ishirini na sita 27 ➡ twenty seven = ishirini na saba 28 ➡ twenty eigh

SOMO LA 35

SOMO LA 35: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ♦♦♦♦♦♦♦♦ 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb 🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵 👉We go /do/play/eat/buy/sleep/speak/work 📝Tuna --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi 👉They go /do/play/eat/buy/sleep/speak/work 📝Wana --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 34

SOMO LA 34: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb ................................. 👉I go/do/play/eat/buy/sleep/speak/work 📝Nina--kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi 👉You go /do/play/eat/buy/sleep/speak/work 📝Una --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi 👉He goes /does/plays/eats/buys/sleeps/speaks/works 📝Ana --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi 👉She goes /does/plays/eats/buys/sleeps/speaks/works 📝Ana --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi 👉It goes /does/plays/eats/buys/sleeps/speaks/works 📝Ana --kwenda/fanya/cheza/kula/nunua/lala/zungumza/fanya kazi ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 33

SOMO LA 33: DAYS OF THE WEEK /MONTHS OF THE YEAR ➖➖➖➖➖➖➖➖ ✔Monday ➡ Jumatatu ✔Tuesday ➡Jumanne ✔Wednesday ➡ Jumatano ✔Thursday ➡ Alhamisi ✔Friday ➡ Ijumaa ✔Saturday ➡ Jumamosi ✔Sunday ➡ Jumapili ✴✴✴✴✴✴✴ ✅January ➡Januari ✅February ➡ Februari ✅March ➡ Machi ✅April ➡  Aprili ✅May ➡  Mei ✅June ➡  Juni ✅July ➡  Julai ✅August ➡ Agosti ✅September ➡ Septemba ✅October ➡ Oktoba ✅November ➡ Novemba ✅December ➡ Disemba ➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 32

SOMO LA 32: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb ................................. 👉I go Ninakwenda 👉You go Unakwenda /mnakwenda 👉He goes Anakwenda 👉She goes Anakwenda 👉It goes Anakwenda 👉We go Tunakwenda 👉They go Wanakwenda ................................. 👉I go to church on Sunday Ninakwenda kanisani Jumapili 👉You go to school in June Unakwenda /mnakwenda shuleni Juni 👉He goes to the farm every morning Anakwenda shambani kila asubuhi 👉She goes to the market daily Anakwenda sokoni kila siku 👉It goes to the bush every day Anakwenda kichakani kila siku 👉We go home after lunch Tunakwenda nyumbani baada ya chakula cha mchana 👉They go home for lunch Wanakwenda nyumbani kwa ajili ya chakula cha mchana ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 31

SOMO LA 31: TENSES "nyakati" ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⏰WAKATI ULIOPO (PRESENT TENSE) ▫▫▫▫▫▫▫▫ ➡Present simple tense ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ➡Present continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali inayoendelea ➡Present perfect tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu ➡Present perfect continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu na inayoendelea ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb ................................. 👉I want Ninataka 👉You want Unataka /mnataka 👉He wants Anataka 👉She wants Anataka 👉It wants Anataka 👉We want Tunataka 👉They want Wanataka =============== 👉I want to ask you a question Ninataka kukuuliza swali 👉You want something from me Unataka /mnataka kitu fulani kutoka kwangu 👉He wants a job Anataka kazi/ajira 👉She wants a husband Anataka mume 👉It wants food Anataka chakula 👉We want to talk to you Tunataka kuzungumza nanyi/nawe 👉They want money now

SOMO LA 30

SOMO LA 30: TENSES "nyakati" ⏳SEHEMU YA 2 ➖➖➖➖➖➖➖ ⏰WAKATI ULIOPO (PRESENT TENSE) ▫▫▫▫▫▫▫▫ ➡Present simple tense ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ➡Present continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali inayoendelea ➡Present perfect tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu ➡Present perfect continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu na inayoendelea 🔹🔹🔹🔹🔹🔹 🕜WAKATI ULIOPITA (PAST TENSE) ▫▫▫▫▫▫▫ ➡Past simple tense ⚫Wakati uliopita Hali ya kawaida ➡Past continuous tense ⚫ Wakati uliopita Hali inayoendelea ➡Past perfect tense ⚫ Wakati uliopita Hali timilifu ➡Past perfect continuous tense ⚫ Wakati uliopita Hali timilifu na inayoendelea ⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫ ⌚WAKATI UJAO (FUTURE TENSE) ➡Future simple tense ⚫Wakati ujao Hali ya kawaida ➡ Future continuous tense ⚫ Wakati ujao Hali inayoendelea ➡ Future perfect tense ⚫ Wakati ujao Hali timilifu ➡ Future perfect continuous tense ⚫ Wakati ujao Hali timilifu na inayoendelea ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTub

SOMO LA 29

SOMO LA 29: NYAKATI "tenses" ⏳SEHEMU YA 1 🔦UTANGULIZI ➖➖➖➖➖➖➖ 🔭AINA ZA NYAKATI 👉Wakati uliopita ◽Past tense 👉Wakati uliopo ◽Present tense 👉Wakati ujao ◽Future tense ➖➖➖➖➖➖➖ 📄HALI ZA NYAKATI ➡Simple tense ⚫Hali ya kawaida ➡Continuous tense ⚫Hali inayoendelea ➡Perfect tense ⚫Hali timilifu ➡Perfect continuous tense ⚫Hali timilifu na inayoendelea ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 28

SOMO LA 28: VIWAKILISHI VYA MBELE YA KITENZI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 👉me (I) Mimi 👉You (you) Wewe 👉Him (he) Yeye __ wa kiume 👉her (she) Yeye __ wa kike 👉It (it) Yeye __ mnyama, kitu ambacho si binadamu 👉us (we) Sisi 👉You (you) Ninyi/nyinyi 👉Them (they) Wao __ Watu, wanyama na vitu vyote amabavyo si binadamu ↩↩↩↩↩↪↪↪↪↪↪ ➖➖➖➖➖ 👉you can help me Unaweza kunisaidia 👉I can help you Ninaweza kukusaidia 👉she can help him Anaweza kumsaidia 👉he can help her Anaweza kumsaidia 👉We can do it Tunaweza kulifanya 👉they can help us Wanaweza kutusaidia 👉they can heal you Wanaweza kuwaponya 👉we can help them Tunaweza kuwasaidia ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 27

SOMO LA 27: MATUMIZI YA "should" au "have to" ⏳KUKANUSHA ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⏩should not = shouldn't ⏩do not = don't ⏩does not = doesn't ⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫ 👉I shouldn't go to sleep Sitakiwi kwenda kulala 💢I don't have to go sleep 👉You shouldn't tell the truth Hautakiwi kusema ukweli 💢You don't have to tell the truth 👉He shouldn't stay at school Hatakiwi kubaki shuleni 💢He doesn't have to stay at school 👉She shouldn't forgive Hatakiwi Kusamehe 💢She doesn't have to forgive 👉It shouldn't get enough food Hatakiwi kupata chakula cha kutosha 💢It doesn't have to get enough food 👉We shouldn't work hard Hatutakiwi kufanya Kazi kwa bidii 💢We don't have to work hard 👉You shouldn't help each other Hamtakiwi kusaidiana 💢You don't have to help each other 👉They shouldn't ask questions Hawatakiwi kuuliza maswali 💢They don't have to ask  questions ➖➖➖➖➖➖➖ 👥 /Instagram /Yo

SOMO LA 26

SOMO LA 26: MATUMIZI YA "should" au "have to" ⏳KUULIZA SWALI ⚫SEHEMU B ➖➖➖➖➖➖➖➖ 👉Should we work hard? Tunatakiwa kufanya Kazi kwa bidii ? 💢Do we have to work hard ? 👉Should you help each other ? Mnatakiwa kusaidiana ? 💢Do you have to help each other ? 👉Should they ask questions ? Wanatakiwa kuuliza maswali ? 💢Do They have to ask questions ? ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 25

SOMO LA 25: MATUMIZI YA "should" au "have to" ⏳KUULIZA SWALI ⚫SEHEMU A ➖➖➖➖➖➖➖➖ 👉Should I go to sleep? Ninatakiwa kwenda kulala? 💢Do I have to go sleep? 👉Should you tell the truth? Unatakiwa kusema ukweli? 💢Do you have to tell the truth? 👉Should he  stay at school ? Anatakiwa abaki shuleni ? 💢Does he have to stay at school ? 👉Should she forgive? Anatakiwa Kusamehe ? 💢Does she have to forgive ? 👉Should it get enough food ? Anatakiwa kupata chakula cha kutosha? 💢Does it have to get enough food ? ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 24

SOMO LA 24: MATUMIZI YA "should" au "have to" ➖➖➖➖➖➖➖➖ 👉I should go to sleep Ninatakiwa kwenda kulala 💢I have to go sleep 👉You should tell the truth Unatakiwa kusema ukweli 💢You have to tell the truth 👉He should stay at school Anatakiwa abaki shuleni 💢He has to stay at school 👉She should forgive Anatakiwa Kusamehe 💢She has to forgive 👉It should get enough food Anatakiwa kupata chakula cha kutosha 💢It has to get enough food 👉We should work hard Tunatakiwa kufanya Kazi kwa bidii 💢We have to work hard 👉You should help each other Mnatakiwa kusaidiana 💢You have to help each other 👉They should ask questions Wanatakiwa kuuliza maswali 💢They have to ask  questions  ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

SOMO LA 23

SOMO LA 23: KUTOA AMRI 👮 (commanding) ➖➖➖➖➖➖➖ 👉come here Njoo hapa 👉go there nenda pale/kule 👉go out Nenda nje 👉stop talking Acha kuzungumza 👉stand up Simama juu 👉sit down Keti chini 👉don't do anything Usifanye lolote 👉tell me everything Niambie kila kitu 👉clean all rooms Safisha vyumba vyote 👉harry up Harakisha 👉wake up Amka 👉follow me Nifuate 👉help me Nisaidie 👉read this letter Soma barua hii 👉give me money Nipe pesa 👉stay at home Baki nyumbani 👉love me Nipende 👉leave me alone Achana na mimi 👉cook early Pika mapema 👉study hard Soma kwa bidii ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim