SOMO LA 47
SOMO LA 47: FUTURE SIMPLE TENSE
Formula: pronoun + will/shall + verb
➖➖➖➖➖➖➖
⚫I will know everything (know)
▫Nitajua kila kitu
⚫You will go there by train (go)
▫Utakwenda kule kwa treni (gari moshi)
⚫He will bring it next year (bring)
▫Atakileta/atalileta/atamleta mwakani (mwaka ujao)
⚫She will cooperate with the whole team (cooperate)
▫Atashirikiana na timu nzima
⚫It will simplify the wok (simplify)
▫Itarahisisha/atarahisisha/kitarahisisha/litarahisisha kazi
⚫We will drive our cars (drive)
▫Tutaendesha magari yetu
⚫They will ride their bikes (ride)
▫Wataendesha baiskeli zao
➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments