SOMO LA 2
SOMO LA 2:
VIFUNGU 12 MCHANGANYIKO
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
1. I am not afraid
🔹siogopi /sina hofu
2.Wait for me
🔹Ningoje /nisubiri
3.I am busy
🔹Nimetingwa
4.Come with me
🔹Tuongozane
5. Don't be afraid
🔹Usiogope /usihofu
6. I love you
🔹Ninakupenda
3.I am sorry
🔹Ninasikitika
8. I hate you
🔹Ninakuchukia
9. Tell me something
🔹Niambie kitu fulani
10. How much is it?
🔹Ni gharama gani? /ni bei gani?
11. I wish you all the best
🔹Ninakutakia kila lakheri
12. I am sure a hundred percent
🔹Nina uhakika asilimia mia moja
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments