Posts

Showing posts with the label Somo la 106

SOMO LA 106

SOMO LA 106: MATUMIZI YA "that's why" SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ That's = that is didn't = did not It's = it is Won't = will not ⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫ Examples (mifano): 1. You are God, that's why I praise and worship you all the time 👉 Wewe ni Mungu ndiyo sababu ninakusifu na kukwabudu wewe wakati wote 2. I was very busy yesterday that's why I didn't come 👉 Nilikuwa nimetingwa sana jana ndiyo sababu sikuja 3. In my life I have tried almost everything that's why I know a lot of things 👉 Katika maisha yangu nimejaribu karibu kila kitu ndiyo sababu ninajua vitu vingi sana 4. Life is not a rehearsal it's a performance that's why you have to do everything seriously 👉 Maisha si mazoezi maisha ni utendaji ndiyo sababu unatakiwa kufanya kila kitu kwa kumaanisha 5. I believe that what I am doing is right that's why I don't care about people's insults at all 👉 Ninaamini kwamba ambacho niko ninakifanya ni sahihi ndiyo...