Posts

Showing posts with the label Somo la 80

SOMO LA 80

SOMO LA 80: MATUMIZI YA "there is" na "there are" SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ There is = there's ⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪ Examples (mifano): 1. There is something in this room 👉 there's something in this room = Kuna kitu (fulani) katika chumba hiki 2. There is nothing in this room 👉 Hakuna kitu chochote kwenye chumba hiki 3. There are many things to do 👉 Kitu vitu vingi vya kufanya 4. There are tough times in life but there are good times as well 👉 Kuna nyakati ngumu katika maisha lakini kuna nyakati nzuri pia 5. There are four boys in the garden but there is one girl in the kitchen 👉 Kuna wavulana wanne bustanini lakini kuna msichana mmoja jikoni 6. There are no students in the classroom because there's no teacher 👉 Hakuna wanafunzi darasani kwa sababu hakuna mwalimu 7. Students are not there because their teacher is not there 👉 Wanafunzi hawapo kwa sababu mwalimu wao hayupo 8. There is a big difference between a man and a woman 👉 Kun...