Posts

Showing posts with the label Somo la 53

SOMO LA 53

SOMO LA 53: PAST PERFECT TENSE Formula: pronoun +had + verb (past participle) ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I had stopped thinking about my business (stop) ⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu ⚫You had bought a lot of goats last year (buy) ⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana ⚫He had stood firm in this matter (stand) ⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili ⚫She had planned to go to college before May this year (plan) ⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu ⚫It had lacked good supervision (lack) ⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri ⚫We had agreed with each other (agreed) ⚪tulikuwa tumekubaliana ⚫They had helped hundreds of people (help) ⚪walikuwa wamesaidia mamia ya watu ➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim