SOMO LA 90
SOMO LA 90: MATUMIZI YA "where" ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Where's = where is ⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪ Examples (mifano): 1. Where's your family? I didn't find anybody at home 👉 Familia yako iko wapi? Sikumkuta mtu yeyote nyumbani 2. Where are you? Are you very far from here? 👉 Uko wapi? Uko mbali sana kutoka hapa? 3. Where did you see me? The truth is that, I have not gone anywhere since Monday 👉 Uliniona wapi? Ukweli ni kwamba, sijakwenda mahali popote tangu Jumatatu 4. I want to visit that garden in the evening, where's it? 👉 Ninataka kuitemebelea hiyo bustani jioni, iko wapi? 5. Where do you want to live? Is it here in Tanzania or somewhere else? 👉 Unataka kuishi wapi? Ni hapa Tanzania au mahali fulani pengine? 6. Where do you live now? I want to come now and talk to you 👉 Unaishi wapi sasa? Ninataka kuja sasa na kuongea na wewe 7. Where am I going to hide my face? This is a terrible shame 👉 Nitauficha wapi uso wangu? Hii ni aibu kubwa 8. I am confus...