Posts

Showing posts with the label Somo la 109

SOMO LA 109

SOMO LA 109: MATUMIZI YA "that's when" SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Examples (mifano): 1. He lost his phone yesterday and that's when he vowed never to go to that street again 👉 Alipoteza simu yake jana na wakati huo ndipo alipoapa kutokwenda tena katika mtaa ule kamwe 2. You can't understand this now. Wait until you start school because that's when you will understand it easily. 👉 Hauwezi kulielewa hili sasa hivi. Subiri mpaka uanze shule kwa sababu wakati huo ndipo utakapolielewa kwa urahisi 3. The last person will enter the room then that's when the TV will be switched on. The purpose of this event is to make all people have a common understanding of what's going on 👉 Mtu wa mwisho ataingia chumbani kisha wakati huo ndipo TV itakapowashwa. Kusudi la tukio hili ni kuwafanya watu wote kuwa na uelewa sawa wa kinachoendelea 4. The moment you stop thinking about your future life that's when you start living carelessly. A life without a pur...