SOMO LA 102
SOMO LA 102: MATUMIZI YA "that's how" SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Wasn't = was not Can't = can not That's = that is ⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫ Examples (mifano): 1. That's how I got this money. It wasn't easy at all 👉 Hivyo ndivyo nilivyopata hii pesa. Haikuwa rahisi hata kidogo 2. That's how people should live. There is no need of fighting and arguing all the time 👉 Hivyo ndivyo watu wanavyotakiwa kuishi. Hakuna haja ya kugombana na kubishana kila wakati 3. I can't tell everything today but that's how it is at present 👉 Siwezi kusema kila kitu leo lakini hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa 4. Listen to me my son. I am not harassing you. That's how children have to behave 👉 Nisikilize mwanangu. Siko ninakunyanyasa. Hivyo ndivyo watoto wanavyotakiwa kuenenda 5. That's how I and my family live. We really enjoy being together as a family 👉 Hivyo ndivyo mimi na familia yangu tunavyoishi. Hakika tunafurahia kuwa pamoja kama familia ➖➖➖➖➖...