SOMO LA 21
SOMO LA 21: MATUMIZI YA "can" ⏳KUULIZA SWALI 〰〰〰〰〰〰〰 👉I can teach English Ninaweza kufundisha kingereza ✳Can I teach English? Ninaweza kufundisha kingereza? 👉Amina can cook bananas Amina anaweza kupika ndizi ✳Can Amina cook bananas? Amina anaweza kupika ndizi? 👉A bullet can kill a lion Risasi inaweza kumuua simba ✳Can a bullet kill a lion? Risasi inaweza kumuua simba? 👉We can play football Tunaweza kucheza mpira wa miguu ✳Can we play football? Tunaweza kucheza mpira wa miguu? 👉You can buy a bus Mnaweza Kununua basi ✳ Can you buy a bus? Mnaweza Kununua basi? 👉They can drink cold water Wanaweza kunywa maji ya baridi sana. ✳ Can they drink cold water? Wanaweza kunywa maji ya baridi sana? ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim