Posts

Showing posts with the label Somo la 70

SOMO LA 70

SOMO LA 70: MATUMIZI YA a, an SEHEMU B: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Zingatia: ## "an" au "a" Haitumiki kwa neno linaloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi ikiwa neno hilo haliko katika kundi au halisimamii neno lililo katika kundi la vitu vinavyohesabika Examples of words (Mifano ya maneno): food, sugar, salt, water, juice, money, etc Examples of sentences (mifano ya sentensi): 1. I want food = ninataka chakula 2. I am waiting for water = ninangoja maji 3. I am waiting for a bottle of water = ninangoja chupa ya maji 4. Please, can you put sugar in this bucket? = tafadhali, unaweza kuweka sukari katika ndoo hii? 5. Please, can you put a kilogram of sugar in this bucket? = tafadhali, unaweza kuweka kilo ya sukari kwenye ndoo hii? 6. You have to buy a water pump = Unatakiwa kununua pampu ya maji 7. Give me money please = nipe pesa tafadhali 8. It's a good advice = ni ushauri mzuri 9. It's a live event = ni tukio mubashara (La moja kwa...