SOMO LA 70
SOMO LA 70: MATUMIZI YA a, an
SEHEMU B:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zingatia:
## "an" au "a" Haitumiki kwa neno linaloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi ikiwa neno hilo haliko katika kundi au halisimamii neno lililo katika kundi la vitu vinavyohesabika
Examples of words (Mifano ya maneno): food, sugar, salt, water, juice, money, etc
Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I want food
= ninataka chakula
2. I am waiting for water
= ninangoja maji
3. I am waiting for a bottle of water
= ninangoja chupa ya maji
4. Please, can you put sugar in this bucket?
= tafadhali, unaweza kuweka sukari katika ndoo hii?
5. Please, can you put a kilogram of sugar in this bucket?
= tafadhali, unaweza kuweka kilo ya sukari kwenye ndoo hii?
6. You have to buy a water pump
= Unatakiwa kununua pampu ya maji
7. Give me money please
= nipe pesa tafadhali
8. It's a good advice
= ni ushauri mzuri
9. It's a live event
= ni tukio mubashara (La moja kwa moja)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim
Comments