SOMO LA 22
SOMO LA 22: MATUMIZI YA "can" ⏳KUKANUSHA na SWALI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ▶▶▶ can not = can't 👉I can't teach English Siwezi kufundisha kingereza ✳ Can't I teach English? Siwezi kufundisha kingereza? 👉Amina can't cook bananas Amina anaweza kupika ndizi ✳Can't Amina cook bananas? Amina hawezi kupika ndizi? 👉A bullet can't kill a lion Risasi haiwezi kumuua simba ✳ Can't a bullet kill a lion? Risasi haiwezi kumuua simba? 👉We can't play football Hatuwezi kucheza mpira wa miguu ✳ Can't we play football? Hatuwezi kucheza mpira wa miguu? 👉You can't buy a bus Hamuwezi Kununua basi ✳Can't you buy a bus? Hamuwezi Kununua basi? 👉They can't drink cold water Hawawezi kunywa maji ya baridi sana. ✳ Can't they drink cold water? Hawawezi kunywa maji ya baridi sana? ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim