SOMO LA 3
SOMO LA 3:
NAMNA YA KUSEMA BAADHI YA METHALI ZA KISWAHILI KWA KIINGEREZA
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
1. Like father like son
🔹Mtoto wa nyoka ni nyoka
2.What goes up must come down
🔹Aliyeko juu mngoje chini
3. Old is gold
🔹Ya kale ni dhahabu
4. Something is better than nothing
🔹Embe dodo sawa sawa na kisukari
5. After hardship comes relief
🔹Baada ya dhiki faraja
6. Great haste makes great waste
🔹Haraka haraka haina baraka
7. A custom is like a law
🔹Kawaida ni Kama sheria
8. Where there is a will there is a way
🔹Penye nia pana njia
9. There is no smoke without fire
🔹Panapofuka moshi pana moto
10. Unity is strength, disunity is weakness
🔹Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments