SOMO LA 69
SOMO LA 69: MATUMIZI YA a, an SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Zinagatia: ## "an" Hutumika kwa neno linaloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi (likiwa katika umoja) ## "a" Hutumika kwa neno lisiloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi (likiwa katika umoja) Examples of words (Mifano ya maneno): a bottle, a cup, a pump, a kilogram, a boy, a woman, etc. Examples of sentences (mifano ya sentensi): 1. I want to buy an orange = ninataka kununua chungwa 2. I am waiting for a bus = ninangoja basi 3. This is an SMS from your friend = huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa rafiki yako 4. I lost an ATM card = nilipoteza kadi ya ATM 5. Do you want an umbrella or a jacket? = Unataka mwamvuli au jaketi? 6. Will you tell me a story? = utanisimulia hadithi? 7. Look at an African = mtazame mwafrika ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim