SOMO LA 75
SOMO LA 75: MATUMIZI YA "this" na "that" SEHEMU A: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ This =: ⚫hiki/huu/huyu/hili/hii/hapa That =: ⚫kile/lile/yule/ile/ule/pale ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Examples (mifano): 1. This is an elephant 🐘 Huyu ni tembo 2. This is a minor problem 👉 Hili ni tatizo dogo 3. This is a TV program 📺 Hii ni programu ya TV 👉 Hiki ni kipindi cha TV 4. This is the right time to go 🏃 Huu ndio wakati sahihi wa kuondoka 5. This is a nice place to live 👉 Hapa ni mahali pazuri kwa kuishi 6. That is my friend = that's my friend 👉 yule/huyo ni rafiki yangu 7. That's the state house 👉 hiyo/ile ndiyo ikulu 8. That's what I can do for you 👉 hicho ndicho ninachoweza kufanya kwa ajili yako 9. That's not possible in this country 👉 hilo haliwezekani katika nchi hii 10. That's not what I mean 👉 hilo silo ninalomaanisha 👉 Sina maana hiyo ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim