SOMO LA 75
SOMO LA 75: MATUMIZI YA "this" na "that"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
This =:
⚫hiki/huu/huyu/hili/hii/hapa
That =:
⚫kile/lile/yule/ile/ule/pale
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples
(mifano):
1. This is an elephant
🐘 Huyu ni tembo
2. This is a minor problem
👉 Hili ni tatizo dogo
3. This is a TV program
📺 Hii ni programu ya TV
👉 Hiki ni kipindi cha TV
4. This is the right time to go
🏃 Huu ndio wakati sahihi wa kuondoka
5. This is a nice place to live
👉 Hapa ni mahali pazuri kwa kuishi
6. That is my friend
= that's my friend
👉 yule/huyo ni rafiki yangu
7. That's the state house
👉 hiyo/ile ndiyo ikulu
8. That's what I can do for you
👉 hicho ndicho ninachoweza kufanya kwa ajili yako
9. That's not possible in this country
👉 hilo haliwezekani katika nchi hii
10. That's not what I mean
👉 hilo silo ninalomaanisha
👉 Sina maana hiyo
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments