SOMO LA 104
SOMO LA 104: MATUMIZI YA "how" SEHEMU B: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Examples (mifano): 1. If you know how to write a job application letter please teach me 👉 Kama unajua jinsi ya kuandika barua ya kuomba kazi tafadhali nifundishe 2. My mother has a lot of money but she doesn't know how to spend it properly 👉 Mama yangu ana pesa nyingi sana lakini hajui jinsi ya kuzitumia kwa usahihi 3. I want to learn how to speak and write English well 👉 Ninataka kujifunza jinsi ya kuongea na kuandika kiingereza vizuri 4. This shows how intelligent you are. Most people fail this exam 👉 Hii inaonyesha jinsi ulivyo na akili. Watu wengi huwa wanashindwa mtihani huu 5. I just feel like there is something wrong with me because how you look at me scares me 👉 Ninahisi tu kama kuna kitu fulani hakiko sawa kwangu kwa sababu unavyonitazama inanitisha 6. I understand how you are feeling now. What you are going through is tough 👉 Ninaelewa vile ambavyo uko unajisikia sasa. Unalolipitia ...