SOMO LA 74
SOMO LA 74: MATUMIZI YA "a", "an" na "the" ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Zingatia: ## "a, an na the" Hazitumiki ⚫Kwenye jina la mtu ⚫Kwenye jina la eneo mfano nchi, mkoa, bara nk. ⚫sifa ya kitu ambayo haiwakilishi jina la Kundi la watu au vitu Examples of sentences (mifano ya sentensi): 1. I live in Tanzania 👉 Ninaishi Tanzania 2. Are you looking for Joseph? 👉 Unamtafuta Joseph? 3. Your are beautiful 👉 Wewe ni mrembo 4. You are healthy 👉 Una afya njema 5. Are you unemployed? 👉 Haujaajiriwa? 6. Are you one of the unemployed? 👉 Wewe ni mmoja wa ambao hawajaajiriwa? ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim