SOMO LA 74
SOMO LA 74: MATUMIZI YA "a", "an" na "the"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zingatia:
## "a, an na the" Hazitumiki
⚫Kwenye jina la mtu
⚫Kwenye jina la eneo mfano nchi, mkoa, bara nk.
⚫sifa ya kitu ambayo haiwakilishi jina la Kundi la watu au vitu
Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I live in Tanzania
👉 Ninaishi Tanzania
2. Are you looking for Joseph?
👉 Unamtafuta Joseph?
3. Your are beautiful
👉 Wewe ni mrembo
4. You are healthy
👉 Una afya njema
5. Are you unemployed?
👉 Haujaajiriwa?
6. Are you one of the unemployed?
👉 Wewe ni mmoja wa ambao hawajaajiriwa?
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments