SOMO LA 62
SOMO LA 62 ๐TENSES - future continuous ⚪kuuliza swali (asking a question) ➖➖➖➖➖➖➖➖ ๐I will be working in the office = Nitakuwa niko ninafanya kazi ofisini ⚪Will/shall I be working in the office ? = Nitakuwa niko ninafanya kazi ofisini ? ๐You will be working in the office = Utakuwa uko unafanya kazi ofisini ⚪ Will you be working in the office ? = Utakuwa uko unafanya kazi ofisini ? ๐He will be working in the office = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ⚪ he be working in the office ? = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ? ๐She will be working in the office = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ⚪ she be working in the office ? = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ? ๐It will be working in the office = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ⚪ it be working in the office ? = Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ? ๐We will be working in the office = Tutakuwa tuko tunafanya kazi ofisini ⚪ Will/shall we be working in the office ? = Tutakuwa tuko tuna...