SOMO LA 62
SOMO LA 62
🕛TENSES - future continuous
⚪kuuliza swali (asking a question)
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I will be working in the office
= Nitakuwa niko ninafanya kazi ofisini
⚪Will/shall I be working in the office ?
= Nitakuwa niko ninafanya kazi ofisini ?
👉You will be working in the office
= Utakuwa uko unafanya kazi ofisini
⚪ Will you be working in the office ?
= Utakuwa uko unafanya kazi ofisini ?
👉He will be working in the office
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini
⚪ he be working in the office ?
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ?
👉She will be working in the office
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini
⚪ she be working in the office ?
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ?
👉It will be working in the office
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini
⚪ it be working in the office ?
= Atakuwa yuko anafanya kazi ofisini ?
👉We will be working in the office
= Tutakuwa tuko tunafanya kazi ofisini
⚪ Will/shall we be working in the office ?
= Tutakuwa tuko tunafanya kazi ofisini ?
👉They will be working in the office
= Watakuwa wako wanafanya kazi ofisini
⚪Will they be working in the office ?
= Watakuwa wako wanafanya kazi ofisini ?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments