SOMO LA 18
SOMO LA 18: MATUMIZI YA "can" 〰〰〰〰〰〰〰 ๐I can Ninaweza ๐You can Unaweza ๐He can Anaweza ๐She can Anaweza ๐It can Kina/lina/kina/anaweza ๐We can Tunaweza ๐You can Mnaweza ๐They can Wanaweza ◀◀◀◀◀◀▶▶▶▶▶▶▶▶ ๐I can teach English Ninaweza kufundisha kiingereza ๐ You can sing like an angel Unaweza kuimba kama malaika ๐Adrian can swim Adrian anaweza kuogelea ๐Amina can cook bananas Amina anaweza kupika ndizi ๐A bullet can kill a lion Risasi inaweza kumuua simba ๐We can play football Tunaweza kucheza mpira wa miguu ๐You can buy a bus Mnaweza Kununua basi ๐They can drink cold water Wanaweza kunywa maji ya baridi sana. ➖➖➖➖➖➖➖ ๐ฅFacebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim