SOMO LA 18
SOMO LA 18: MATUMIZI YA "can"
〰〰〰〰〰〰〰
👉I can
Ninaweza
👉You can
Unaweza
👉He can
Anaweza
👉She can
Anaweza
👉It can
Kina/lina/kina/anaweza
👉We can
Tunaweza
👉You can
Mnaweza
👉They can
Wanaweza
◀◀◀◀◀◀▶▶▶▶▶▶▶▶
👉I can teach English
Ninaweza kufundisha kiingereza
👉 You can sing like an angel
Unaweza kuimba kama malaika
👉Adrian can swim
Adrian anaweza kuogelea
👉Amina can cook bananas
Amina anaweza kupika ndizi
👉A bullet can kill a lion
Risasi inaweza kumuua simba
👉We can play football
Tunaweza kucheza mpira wa miguu
👉You can buy a bus
Mnaweza Kununua basi
👉They can drink cold water
Wanaweza kunywa maji ya baridi sana.
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments