Posts

Showing posts with the label Somo la 63

SOMO LA 63

SOMO LA 63: PAST PERFECT TENSE (asking a question) ➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I had stopped thinking about my business (stop) ⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu 👉Had I stopped thinking about my business ? ⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu ? ⚫You had bought a lot of goats last year (buy) ⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana 👉Had you bought a lot of goats last year ? ⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana ? ⚫He had stood firm in this matter (stand) ⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili 👉Had he stood firm in this matter ? ⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili ? ⚫She had planned to go to college before May this year (plan) ⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu 👉Had she planned to go to college before May this year ? ⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu ? ⚫It had lacked good supervision (lack) ⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri 👉Had it lacked good supervision ? ⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri ?...