SOMO LA 63


SOMO LA 63: PAST PERFECT TENSE (asking a question)
➖➖➖➖➖➖➖
⚫I had stopped thinking about my business (stop)
⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu
👉Had I stopped thinking about my business ?
⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu ?

⚫You had bought a lot of goats last year (buy)
⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana
👉Had you bought a lot of goats last year ?
⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana ?

⚫He had stood firm in this matter (stand)
⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili
👉Had he stood firm in this matter ?
⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili ?

⚫She had planned to go to college before May this year (plan)
⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu 👉Had she planned to go to college before May this year ?
⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu ?

⚫It had lacked good supervision (lack)
⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri
👉Had it lacked good supervision ?
⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri ?

⚫We had agreed with each other (agreed)
⚪tulikuwa tumekubaliana
👉Had we agreed with each other ?
⚪tulikuwa tumekubaliana ?

⚫They had helped hundreds of people (help)
⚪walikuwa wamesaidia mamia ya watu
👉Had they helped hundreds of people ?
⚪walikuwa wamesaidia mamia ya watu ?
➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2