Posts

Showing posts with the label Somo la 06

SOMO LA 6

SOMO LA 6: VIWAKILISHI (pronouns) ๐ŸšฉSEHEMU YA KWANZA ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ๐Ÿ‘‰I Mimi ๐Ÿ‘‰You Wewe ๐Ÿ‘‰He Yeye __ wa kiume ๐Ÿ‘‰She Yeye __ wa kike ๐Ÿ‘‰It Yeye __ mnyama, kitu ambacho si binadamu ๐Ÿ‘‰We Sisi ๐Ÿ‘‰You Ninyi/nyinyi ๐Ÿ‘‰They Wao __ Watu, wanyama na vitu vyote amabavyo si binadamu ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ๐Ÿ‘‰I am  (Mimi ni.../niko nina...) ๐Ÿ‘‰You are  (wewe ni/uko una) ๐Ÿ‘‰He is (yeye --wa kiume -- ni/yuko ana) ๐Ÿ‘‰She is (yeye -- wa kike-- ni/yuko ana) ๐Ÿ‘‰It is  (yeye/lenyewe/chenyewe/ni au kiko/liko/yuko kina/lina/ana) ๐Ÿ‘‰You are (Ninyi ni/mko mna) ๐Ÿ‘‰We are  (Sisi ni/tuko tuna) ๐Ÿ‘‰They are  (wao--wa kike au wa kiume au wanyama na vitu visivyo binadamu --  ni/wako wana/viko vina... ) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ๐Ÿ‘‰I am a boy Mimi ni mvulana ๐Ÿ‘‰You are a girl Wewe ni msichana ๐Ÿ‘‰He is a man Yeye ni mwanaume ๐Ÿ‘‰She is a woman Yeye ni mwanamke ๐Ÿ‘‰It is a rat Yeye ni panya ๐Ÿ‘‰It is a problem Lenyewe ni tatizo ๐Ÿ‘‰It is a chair Chenyewe ni kiti ๐Ÿ‘‰...