SOMO LA 6
SOMO LA 6: VIWAKILISHI (pronouns)
🚩SEHEMU YA KWANZA
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I
Mimi
👉You
Wewe
👉He
Yeye __ wa kiume
👉She
Yeye __ wa kike
👉It
Yeye __ mnyama, kitu ambacho si binadamu
👉We
Sisi
👉You
Ninyi/nyinyi
👉They
Wao __ Watu, wanyama na vitu vyote amabavyo si binadamu
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I am
(Mimi ni.../niko nina...)
👉You are
(wewe ni/uko una)
👉He is
(yeye --wa kiume -- ni/yuko ana)
👉She is
(yeye -- wa kike-- ni/yuko ana)
👉It is
(yeye/lenyewe/chenyewe/ni au kiko/liko/yuko kina/lina/ana)
👉You are
(Ninyi ni/mko mna)
👉We are
(Sisi ni/tuko tuna)
👉They are
(wao--wa kike au wa kiume au wanyama na vitu visivyo binadamu -- ni/wako wana/viko vina... )
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I am a boy
Mimi ni mvulana
👉You are a girl
Wewe ni msichana
👉He is a man
Yeye ni mwanaume
👉She is a woman
Yeye ni mwanamke
👉It is a rat
Yeye ni panya
👉It is a problem
Lenyewe ni tatizo
👉It is a chair
Chenyewe ni kiti
👉we are boys
Sisi ni wavulana
👉You are girls
Ninyi /nyinyi ni wasichana
👉They are men
Wao ni wanaume
👉They are women
Wao ni wanawake
👉They are rats
Wao ni panya
👉They are chairs
Vyenyewe ni viti
âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments