SOMO LA 31
SOMO LA 31: TENSES "nyakati" ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⏰WAKATI ULIOPO (PRESENT TENSE) ▫▫▫▫▫▫▫▫ ➡Present simple tense ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ➡Present continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali inayoendelea ➡Present perfect tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu ➡Present perfect continuous tense ⚫ Wakati uliopo Hali timilifu na inayoendelea ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ๐PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb ................................. ๐I want Ninataka ๐You want Unataka /mnataka ๐He wants Anataka ๐She wants Anataka ๐It wants Anataka ๐We want Tunataka ๐They want Wanataka =============== ๐I want to ask you a question Ninataka kukuuliza swali ๐You want something from me Unataka /mnataka kitu fulani kutoka kwangu ๐He wants a job Anataka kazi/ajira ๐She wants a husband Anataka mume ๐It wants food Anataka chakula ๐We want to talk to you Tunataka kuzungumza nanyi/nawe ๐They want money now ...