SOMO LA 31
SOMO LA 31: TENSES "nyakati"
➖➖➖➖➖➖➖➖
⏰WAKATI ULIOPO
(PRESENT TENSE)
▫▫▫▫▫▫▫▫
➡Present simple tense
⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida
➡Present continuous tense
⚫ Wakati uliopo Hali inayoendelea
➡Present perfect tense
⚫ Wakati uliopo Hali timilifu
➡Present perfect continuous tense
⚫ Wakati uliopo Hali timilifu na inayoendelea
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🕛PRESENT SIMPLE TENSE
⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida
▫formula (kanuni)
▶Pronoun + Verb
.................................
👉I want
Ninataka
👉You want
Unataka /mnataka
👉He wants
Anataka
👉She wants
Anataka
👉It wants
Anataka
👉We want
Tunataka
👉They want
Wanataka
===============
👉I want to ask you a question
Ninataka kukuuliza swali
👉You want something from me
Unataka /mnataka kitu fulani kutoka kwangu
👉He wants a job
Anataka kazi/ajira
👉She wants a husband
Anataka mume
👉It wants food
Anataka chakula
👉We want to talk to you
Tunataka kuzungumza nanyi/nawe
👉They want money now
Wanataka pesa sasa hivi
➖➖➖➖➖
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments