SOMO LA 54
SOMO LA 54: PAST PERFECT CONTINUOUS TENSE Formula: pronoun +had + been + verb + ing ➖➖➖➖➖➖➖➖ ⚫I had been doing business for so many days (do) ⚪nilikuwa nimekuwa nikifanya biashara kwa Siku nyingi sana ⚫You had been planning to launch your album (plan) ⚪ulikuwa umekuwa ukipanga kuzindua albam yako ⚫He had been enjoying life abroad (enjoy) ⚪alikuwa amekuwa akifurahia maisha nje ya nchi ⚫She had been telling the truth all the time ⚪alikuwa amekuwa akisema kweli muda wote ⚫It had been raining continuously (rain) ⚪ilikuwa imekuwa ikinyesha bila kukoma ⚫We had been teaching kids how to write (teach) ⚪tulikuwa tumekuwa tukiwafundisha watoto namna ya kuandika ⚫They had been learning this language on social media (learn) ⚪walikuwa wamekuwa wakijifunza lugha hii kwenye mitandao ya kijamii ➖➖➖➖➖➖➖➖ 👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim