SOMO LA 54


SOMO LA 54: PAST PERFECT CONTINUOUS TENSE
Formula: pronoun +had + been + verb + ing
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I had been doing business for so many days (do)
⚪nilikuwa nimekuwa nikifanya biashara kwa Siku nyingi sana

⚫You had been planning to launch your album (plan)
⚪ulikuwa umekuwa ukipanga kuzindua albam yako

⚫He had been enjoying life abroad (enjoy)
⚪alikuwa amekuwa akifurahia maisha nje ya nchi

⚫She had been telling the truth all the time
⚪alikuwa amekuwa akisema kweli muda wote

⚫It had been raining continuously (rain)
⚪ilikuwa imekuwa ikinyesha bila kukoma

⚫We had been teaching kids how to write (teach)
⚪tulikuwa tumekuwa tukiwafundisha watoto namna ya kuandika

⚫They had been learning this language on social media (learn)
⚪walikuwa wamekuwa wakijifunza lugha hii kwenye mitandao ya kijamii
➖➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2