Posts

Showing posts with the label Somo la 04

SOMO LA 4

SOMO LA 4: KUJITAMBULISHA ➖➖➖➖➖➖➖ 1. What is your name? Au what's your name? 🔹Unaitwa nani? 2. How old are you? 🔹Una umri gani? 3. I am 28 years old 🔹Nina miaka 28 4. Where do you come from? 🔹Unatokea wapi? 5. I come from Tanzania 🔹Ninatokea Tanzania 6. I come from Mwanza 🔹Ninatokea Mwanza 7. I come from Mwanza Region 🔹Ninatokea mkoa wa Mwanza 8. I come from Mwanza district 🔹Ninatokea wilaya ya Mwanza 9. Where do you live? 🔹Unaishi wapi? 10. I live at Ubungo 🔹Ninaishi Ubungo 11. What is your mother's name? 🔹Mama yako anaitwaje? 12. My mother's name is Joyce Joel 🔹Mama yangu anaitwa Joyce Joel 13. What is your father's name? 🔹Baba yako anaitwaje? 14. My father's name is Joel James 🔹Baba yangu anaitwa Joel James 15. What is your occupation? 🔹Unafanya kazi gani? (ajira yako ni ipi?) 16. I am a student 🔹Mimi ni mwanafunzi 17. I am a farmer 🔹Mimi ni mkulima 18. I am an engineer 🔹Mimi ni mhandis...