SOMO LA 32
SOMO LA 32: TENSES "nyakati" 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ➖➖➖➖➖➖➖➖ 🕛PRESENT SIMPLE TENSE ⚫Wakati uliopo Hali ya kawaida ▫formula (kanuni) ▶Pronoun + Verb ................................. 👉I go Ninakwenda 👉You go Unakwenda /mnakwenda 👉He goes Anakwenda 👉She goes Anakwenda 👉It goes Anakwenda 👉We go Tunakwenda 👉They go Wanakwenda ................................. 👉I go to church on Sunday Ninakwenda kanisani Jumapili 👉You go to school in June Unakwenda /mnakwenda shuleni Juni 👉He goes to the farm every morning Anakwenda shambani kila asubuhi 👉She goes to the market daily Anakwenda sokoni kila siku 👉It goes to the bush every day Anakwenda kichakani kila siku 👉We go home after lunch Tunakwenda nyumbani baada ya chakula cha mchana 👉They go home for lunch Wanakwenda nyumbani kwa ajili ya chakula cha mchana ➖➖➖➖➖➖➖ 👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim