SOMO LA 32


SOMO LA 32: TENSES "nyakati"
🕛PRESENT SIMPLE TENSE
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
🕛PRESENT SIMPLE TENSE
âš«Wakati uliopo Hali ya kawaida
â–«formula (kanuni)
â–¶Pronoun + Verb
.................................
👉I go
Ninakwenda

👉You go
Unakwenda /mnakwenda

👉He goes
Anakwenda

👉She goes
Anakwenda

👉It goes
Anakwenda

👉We go
Tunakwenda

👉They go
Wanakwenda
.................................
👉I go to church on Sunday
Ninakwenda kanisani Jumapili

👉You go to school in June
Unakwenda /mnakwenda shuleni Juni

👉He goes to the farm every morning
Anakwenda shambani kila asubuhi

👉She goes to the market daily
Anakwenda sokoni kila siku

👉It goes to the bush every day
Anakwenda kichakani kila siku

👉We go home after lunch
Tunakwenda nyumbani baada ya chakula cha mchana

👉They go home for lunch
Wanakwenda nyumbani kwa ajili ya chakula cha mchana
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2