Posts

Showing posts with the label Somo la 73

SOMO LA 73

SOMO LA 73: MATUMIZI YA "the" SEHEMU B: ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Zingatia: ## "the" Hutumika katika ⚫jina lillilokuwa limetajwa kabla katika sentensi ⚫uraia ⚫majina ya mito na bahari ⚫kuonyesha utoshelevu wa kitu fulani kwa ajili ya kusudi fulani ⚫kuonyesha namna badiliko katika jambo moja huleta badiliko katika jambo lingine ⚫sifa inayowakilisha kundi la watu au vitu ➖➖➖➖➖➖➖➖ Examples of sentences (mifano ya sentensi): 1. I want to buy a house. The house is very big 👉 Ninataka kununua nyumba. Nyumba (hiyo) ni kubwa sana. 2. The Tanzanians work hard for their financial freedom 👉 Watanzania wanafamya kazi kwa bidii sana kwa ajili ya uhuru wao wa kifedha 3. The Nile river is found in Africa and the Indian ocean borders Tanzania 👉 Mto Naili unapatikana Afrika na bahari ya Hindi imepakana na Tanzania. 4. Your neighbour wants to buy a car but he doesn't have the money 👉 Jirani yako anataka kununua gari lakini hana (hizo) pesa 5. Alfred likes movies b...