SOMO LA 73


SOMO LA 73: MATUMIZI YA "the"
SEHEMU B:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zingatia:
## "the" Hutumika katika
⚫jina lillilokuwa limetajwa kabla katika sentensi
⚫uraia
⚫majina ya mito na bahari
⚫kuonyesha utoshelevu wa kitu fulani kwa ajili ya kusudi fulani
⚫kuonyesha namna badiliko katika jambo moja huleta badiliko katika jambo lingine
⚫sifa inayowakilisha kundi la watu au vitu
➖➖➖➖➖➖➖➖
Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I want to buy a house. The house is very big
👉 Ninataka kununua nyumba. Nyumba (hiyo) ni kubwa sana.

2. The Tanzanians work hard for their financial freedom
👉 Watanzania wanafamya kazi kwa bidii sana kwa ajili ya uhuru wao wa kifedha

3. The Nile river is found in Africa and the Indian ocean borders Tanzania
👉 Mto Naili unapatikana Afrika na bahari ya Hindi imepakana na Tanzania.

4. Your neighbour wants to buy a car but he doesn't have the money
👉 Jirani yako anataka kununua gari lakini hana (hizo) pesa

5. Alfred likes movies but he doesn't have the time
👉 Alfred anapenda filamu lakini hana muda (huo)

6. The more careful you be, the more successful you become
👉 kadri unavyozidi kuwa makini, ndivyo unavyozidi kufanikiwa

7. The lazier you be, the poorer you be
👉 kadri unavyozidi kuwa mvivu, ndivyo unavyozidi kuwa masikini

8. The government should help the unemployed
👉 Serikali inatakiwa kuwasaidia wasio na ajira
 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2