SOMO LA 4
SOMO LA 4:
KUJITAMBULISHA
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
1. What is your name?
Au
what's your name?
🔹Unaitwa nani?
2. How old are you?
🔹Una umri gani?
3. I am 28 years old
🔹Nina miaka 28
4. Where do you come from?
🔹Unatokea wapi?
5. I come from Tanzania
🔹Ninatokea Tanzania
6. I come from Mwanza
🔹Ninatokea Mwanza
7. I come from Mwanza Region
🔹Ninatokea mkoa wa Mwanza
8. I come from Mwanza district
🔹Ninatokea wilaya ya Mwanza
9. Where do you live?
🔹Unaishi wapi?
10. I live at Ubungo
🔹Ninaishi Ubungo
11. What is your mother's name?
🔹Mama yako anaitwaje?
12. My mother's name is Joyce Joel
🔹Mama yangu anaitwa Joyce Joel
13. What is your father's name?
🔹Baba yako anaitwaje?
14. My father's name is Joel James
🔹Baba yangu anaitwa Joel James
15. What is your occupation?
🔹Unafanya kazi gani? (ajira yako ni ipi?)
16. I am a student
🔹Mimi ni mwanafunzi
17. I am a farmer
🔹Mimi ni mkulima
18. I am an engineer
🔹Mimi ni mhandisi
19. I am a doctor
🔹Mimi ni daktari
20. I am a businessman
🔹Mimi ni mfanyabiashara (Wa kiume)
21. I am a businesswoman
🔹Mimi ni mfanyabiashara (wa kike )
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments