SOMO LA 69


SOMO LA 69: MATUMIZI YA a, an
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Zinagatia:
## "an" Hutumika kwa neno linaloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi (likiwa katika umoja)

## "a" Hutumika kwa neno lisiloanza na sauti a, e, i, o, u katika matamshi (likiwa katika umoja)

Examples of words (Mifano ya maneno): a bottle, a cup, a pump, a kilogram, a boy, a woman, etc.

Examples of sentences (mifano ya sentensi):
1. I want to buy an orange
= ninataka kununua chungwa

2. I am waiting for a bus
= ninangoja basi

3. This is an SMS from your friend
= huu ni ujumbe mfupi kutoka kwa rafiki yako

4. I lost an ATM card
= nilipoteza kadi ya ATM

5. Do you want an umbrella or a jacket?
= Unataka mwamvuli au jaketi?

6. Will you tell me a story?
= utanisimulia hadithi?

7. Look at an African
= mtazame mwafrika
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/ Instagram / YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2