SOMO LA 11
SOMO LA 11: VIWAKILISHI (pronouns )
SEHEMU YA TATU
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉I am a leader
Mimi ni kiongozi
⏩Am I a leader?
Mimi ni kiongozi?
👉You are child
Wewe ni mtoto
⏩ Are you a child ?
Wewe ni mtoto?
👉He is a hero
Yeye ni shujaa
⏩Is he a hero?
Yeye ni shujaa?
👉She is a lawyer
Yeye ni mwanasheria
⏩Is she a lawyer?
Yeye ni mwanasheria?
👉It is a car
Lenyewe ni gari
⏩Is it a car?
Lenyewe ni gari ?
Au ni gari?
👉We are teachers
Sisi ni walimu
⏩ Are we teachers?
Sisi ni walimu?
👉You are students
Ninyi ni wanafunzi
⏩ Are you students?
Ninyi ni wanafunzi?
👉They are cooks
Wao ni wapishi
⏩Are they cooks?
Wao ni wapishi?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
đź‘ĄFacebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments