SOMO LA 19
SOMO LA 19: MATUMIZI YA "can"
KUKANUSHA
〰〰〰〰〰〰〰
▶▶▶ can not = can't
👉I can't teach English
Siwezi kufundisha kingereza
👉 You can't sing like an angel
Huwezi kuimba kama malaika
👉Adrian can't swim
Adrian hawezi kuogelea
👉Amina can't cook bananas
Amina anaweza kupika ndizi
👉A bullet can't kill a lion
Risasi haiwezi kumuua simba
👉We can't play football
Hatuwezi kucheza mpira wa miguu
👉You can't buy a bus
Hamuwezi Kununua basi
👉They can't drink cold water
Hawawezi kunywa maji ya baridi sana.
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments