SOMO LA 22


SOMO LA 22: MATUMIZI YA "can"
⏳KUKANUSHA na SWALI
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
▶▶▶ can not = can't

👉I can't teach English
Siwezi kufundisha kingereza
âśł Can't I teach English?
Siwezi kufundisha kingereza?

👉Amina can't cook bananas
Amina anaweza kupika ndizi
âśłCan't Amina cook bananas?
Amina hawezi kupika ndizi?

👉A bullet can't kill a lion
Risasi haiwezi kumuua simba
âśł Can't a bullet  kill a lion?
Risasi haiwezi kumuua simba?

👉We can't play football
Hatuwezi kucheza mpira wa miguu
âśł Can't we  play football?
Hatuwezi kucheza mpira wa miguu?

👉You can't buy a bus
Hamuwezi Kununua basi
âśłCan't you buy a bus?
Hamuwezi Kununua basi?

👉They can't drink cold water
Hawawezi kunywa maji ya baridi sana.
âśł Can't they drink cold water?
Hawawezi kunywa maji ya baridi sana?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
đź‘ĄFacebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2