SOMO LA 21
SOMO LA 21: MATUMIZI YA "can"
⏳KUULIZA SWALI
〰〰〰〰〰〰〰
👉I can teach English
Ninaweza kufundisha kingereza
âśłCan I teach English?
Ninaweza kufundisha kingereza?
👉Amina can cook bananas
Amina anaweza kupika ndizi
âśłCan Amina cook bananas?
Amina anaweza kupika ndizi?
👉A bullet can kill a lion
Risasi inaweza kumuua simba
âśłCan a bullet kill a lion?
Risasi inaweza kumuua simba?
👉We can play football
Tunaweza kucheza mpira wa miguu
âśłCan we play football?
Tunaweza kucheza mpira wa miguu?
👉You can buy a bus
Mnaweza Kununua basi
âśł Can you buy a bus?
Mnaweza Kununua basi?
👉They can drink cold water
Wanaweza kunywa maji ya baridi sana.
âśł Can they drink cold water?
Wanaweza kunywa maji ya baridi sana?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
đź‘ĄFacebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments