SOMO LA 7
SOMO LA 7: KUSOMA KINGEREZA
(reading English )
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
â—½Maneno yenye "oo"
👉Book
Kitabu
👉look
Tazama
👉bloom
Ufagio
👉fool
Mpumbavu
👉food
Chakula
👉cook
Pika
👉spoon
Kijiko
âž–âž–âž–âž–âž–âž–
Maneno yenye "ee"
👉feel
Hisi
👉feed
Lisha
👉sleep
Lala
👉weep
Lia Kwa kuomboleza
👉week
Juma/wiki
👉seek
tafuta
👉bleed
Tokwa na damu
👉bee
Nyuki
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
Maneno yenye "ea"
👉tea
Chai
👉team
Timu
👉seat
Siti/kiti
👉reap
Vuna
👉weak
Dhaifu
👉leaf
Jani la mti/mmea
👉read
Soma
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments