SOMO LA 12


SOMO LA 12: VIWAKILISHI (pronouns )
SEHEMU YA NNE
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
â—¾John is a good man
John ni mtu mwema
🔹Is John a good man?
John ni mtu mwema ?

â—¾Asha is a nurse
Asha ni muuguzi
🔹Is Asha a nurse?
Asha ni muuguzi

â—¾John and Asha are relatives John na Asha ni ndugu
🔹 Are John and Asha relatives?
 John na Asha ni ndugu?

â—¾You and I are friends
Mimi na wewe ni marafiki
🔹 Are you and I friends?
Mimi na wewe ni marafiki?

â—¾A rat is an animal
Panya ni mnyama
🔹 Is a rat an animal?
Panya ni mnyama?

â—¾Poverty is bad
Umasikini ni mbaya
🔹 Is poverty bad?
Umasikini ni mbaya?

â—¾Forgiving is a good habit
Kusamehe ni tabia njema
🔹 Is forgiving a good habit?
Kusamehe ni tabia njema?
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2