SOMO LA 5
SOMO LA 5: KUMTAKIA MTU HERI (Best wishes)
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👉Ninakutakia kila lakheri
I wish you all the best
👉Heri ya siku ya kuzaliwa
Happy Birthday
👉Heri ya kumbukumbu/maadhimisho
Happy Anniversary
👉Furahi/furahia
Enjoy yourself
👉Jisikie uko nyumbani
Feel at home
👉Kila lakheri
Goodluck
👉Uwe na safari njema
Have a nice journey
👉Uwe na siku njema
Have a nice day
👉Heri ya Krismasi
Merry Christmas
👉Heri ya pasaka
Happy Easter
👉Heri ya mwaka mpya
Happy New Year
👉Upone mapema au haraka
Get well soon
👉Furahia tafrija/khafla
Enjoy the party
👉Ninawatakia(Ninakutakia) ndoa yenye furaha
I wish you a happy marriage
👉Ninakutakia (Ninawatakia) ndoa yenye baraka
I wish you a blessed marriage
👉Mungu akubariki
God bless you (May God bless you)
👉Mungu akubariki sana
God bless you so much
👉Wikendi njema
Nice weekend
👉Ninakutakia maisha yenye mafanikio
I wish you a successful life
âž–âž–âž–âž–âž–âž–âž–
👥Facebook /Instagram /YouTube @Azari Eliakim
Comments