SOMO LA 102


SOMO LA 102: MATUMIZI YA "that's how"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Wasn't = was not
Can't = can not
That's = that is
⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫⚫
Examples
(mifano):
1. That's how I got this money. It wasn't easy at all
👉 Hivyo ndivyo nilivyopata hii pesa. Haikuwa rahisi hata kidogo

2. That's how people should live. There is no need of fighting and arguing all the time
👉 Hivyo ndivyo watu wanavyotakiwa kuishi. Hakuna haja ya kugombana na kubishana kila wakati

3. I can't tell everything today but that's how it is at present
👉 Siwezi kusema kila kitu leo lakini hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa

4. Listen to me my son. I am not harassing you. That's how children have to behave
👉 Nisikilize mwanangu. Siko ninakunyanyasa. Hivyo ndivyo watoto wanavyotakiwa kuenenda

5. That's how I and my family live. We really enjoy being together as a family
👉 Hivyo ndivyo mimi na familia yangu tunavyoishi. Hakika tunafurahia kuwa pamoja kama familia
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim  

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2