SOMO LA 90


SOMO LA 90: MATUMIZI YA "where"
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Where's = where is
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. Where's your family? I didn't find anybody at home
👉 Familia yako iko wapi? Sikumkuta mtu yeyote nyumbani

2. Where are you? Are you very far from here?
👉 Uko wapi? Uko mbali sana kutoka hapa?

3. Where did you see me? The truth is that, I have not gone anywhere since Monday
👉 Uliniona wapi? Ukweli ni kwamba, sijakwenda mahali popote tangu Jumatatu

4. I want to visit that garden in the evening, where's it?
👉 Ninataka kuitemebelea hiyo bustani jioni, iko wapi?

5. Where do you want to live? Is it here in Tanzania or somewhere else?
👉 Unataka kuishi wapi? Ni hapa Tanzania au mahali fulani pengine?

6. Where do you live now? I want to come now and talk to you
👉 Unaishi wapi sasa? Ninataka kuja sasa na kuongea na wewe

7. Where am I going to hide my face? This is a terrible shame
👉 Nitauficha wapi uso wangu? Hii ni aibu kubwa

8. I am confused. Where are they? But also, Where are we?
👉 Nimechanganyikiwa. Wao wako wapi? Lakini pia, sisi tuko wapi?

9. I was told about his/her wedding. Where will it take place?
👉 Niliambiwa kuhusu harusi yake. Itafanyika wapi?

10. Where can I get a dentist? My tooth is aching
👉 Ninaweza kumpata wapi daktari wa meno? Jino langu (liko) linauma
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim 

Comments

Popular posts from this blog

SOMO LA 110

SOMO LA 1

SOMO LA 2