SOMO LA 53
SOMO LA 53: PAST PERFECT TENSE
Formula: pronoun +had + verb (past participle)
➖➖➖➖➖➖➖➖
⚫I had stopped thinking about my business (stop)
⚪nilikuwa nimeacha kufikiri kuhusu biashara yangu
⚫You had bought a lot of goats last year (buy)
⚪ulikuwa umenunua mbuzi wengi mwaka jana
⚫He had stood firm in this matter (stand)
⚪alikuwa amesimama imara katika suala hili
⚫She had planned to go to college before May this year (plan)
⚪alikuwa amepanga kwenda chuoni kabla ya Mei mwaka huu
⚫It had lacked good supervision (lack)
⚪lilikuwa limekosa usimamizi mzuri
⚫We had agreed with each other (agreed)
⚪tulikuwa tumekubaliana
⚫They had helped hundreds of people (help)
⚪walikuwa wamesaidia mamia ya watu
➖➖➖➖➖➖➖
👥 Facebook/Instagram/YouTube @Azari Eliakim
Comments