SOMO LA 80
SOMO LA 80: MATUMIZI YA "there is" na "there are"
SEHEMU A:
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
There is = there's
⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪⚪
Examples
(mifano):
1. There is something in this room
👉 there's something in this room
= Kuna kitu (fulani) katika chumba hiki
2. There is nothing in this room
👉 Hakuna kitu chochote kwenye chumba hiki
3. There are many things to do
👉 Kitu vitu vingi vya kufanya
4. There are tough times in life but there are good times as well
👉 Kuna nyakati ngumu katika maisha lakini kuna nyakati nzuri pia
5. There are four boys in the garden but there is one girl in the kitchen
👉 Kuna wavulana wanne bustanini lakini kuna msichana mmoja jikoni
6. There are no students in the classroom because there's no teacher
👉 Hakuna wanafunzi darasani kwa sababu hakuna mwalimu
7. Students are not there because their teacher is not there
👉 Wanafunzi hawapo kwa sababu mwalimu wao hayupo
8. There is a big difference between a man and a woman
👉 Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamume na mwanamke
9. There is no difference between a man and a woman
👉 Hakuna tofauti kati ya mwanamume na mwanamke
10. There's something I want you to know about this family
👉 Kuna kitu ninataka ujue kuhusu familia hii
➖➖➖➖➖➖➖
🌐 Facebook/Instagram/YouTube @ Azari Eliakim
Comments